Pages

Saturday, 22 June 2019

Paul B - Wema Wako Lyrics feat. DON SANTO

CHORUS
Baba, wema wako ni tosha
Baba, wema wako ni tosha
Baba, wema wako ni tosha
Baba, wema wako ni tosha

VERSE 1: Paul B
Bwana Yesu wangu nakupenda toka jadi
Wema wako Bwana umenifanya niwe hai
Bwana Yesu wangu nakupenda toka jadi
Wema wako Bwana umenifanya niwe hai
Umenipa sauti naimba
Umenipa uhuru nanena
Neno lako chakula cha roho
Wema wako ni tele tele tele ai

CHORUS
Baba, wema wako ni tosha
Baba, wema wako ni tosha
Baba, wema wako ni tosha
Baba, wema wako ni tosha


VERSE 2: Paul B
Ulikufa msalabani nafsi yangu kapona
Hata leo ninakiri kwamba wewe ni Bwana
(Ulipigwa pigwa, ukateswa teswa wema wako ajabu*2)
Umenipa sauti naimba
Umenipa uhuru nanena
Neno lako chakula cha roho
Wema wako ni tele tele tele ai

CHORUS
Baba, wema wako ni tosha
Baba, wema wako ni tosha
Baba, wema wako ni tosha
Baba, wema wako ni tosha


VERSE 3: DON SANTO
Unaponya, Yesu wangu we wapendeza aha
Waongoza njia zangu zote nakupenda aha
Minapenda kuimba, minapenda kusifu
Minapenda kucheza, nakupendaa..
Aram tapa tapa minapenda vitu mingi hata kutaja nashindwa
Bila ule wema wako ningekuwa kitu bure YESU nakupenda ah ah

CHORUS
Baba, wema wako ni tosha
Baba, wema wako ni tosha
Baba, wema wako ni tosha
Baba, wema wako ni tosha

No comments:

Post a Comment

DON SANTO x BADMAN KILLA - REMEMBER | KALPOP LYRICS

"If you can remember me, I will be with you always.” - DON SANTO. DON SANTO wrote it while he was being chauffeured to record "Who...